City image
Tanzania
Sumbawanga (mji)
7:40 alasiri 

Sumbawanga ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Rukwa. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 147,483 .Kabila maarufu mkoani sumbawanga ni wafipa wakitumia lugha ya kifipa. .

Wikipedia.org
Idadi ya Watu: 89161
wakati wa Kawaida: Wednesday 7:40 alasiri
Ukanda wa saa: Saa ya Afrika Mashariki